Uncategorized

YANGA YAREJEA DAR NA POINTI MBILI, HESABU ZAKE NI KWA GWAMBINA

admin February 24, 2020 7:41 am

KIKOSI cha Yanga kimerejea Dar baada ya kumalizana na Coastal Union jana, Februari 23 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo Yanga ilisepa na pointi moja baada ya kutoshana nguvu na wagosi hao wa kaya bila kufungana ndani ya dakika 90.

Jumatano Yanga itashuka Uwanja wa Taifa kumenyana na Gwambina FC kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho.

Kwenye mechi mbili ilizocheza mwezi Februari, Yanga imeambulia pointi mbili na bao moja baada ya kulazimisha sare na Polisi Tanzania ya kufungana bao 1-1 na jana kutoa sare ya bila kufungana na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani.

HUU HAPA MTAMBO WA KUTENGENEZA MABAO NDANI YA MANCHESTER CITY KAGERE ATAJA SABABU YA KUFUNGA MABAO NDANI YA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply