Uncategorized

KLOPP APASUA KICHWA KUMKOSA WIKI TATU NYOTA WAKE HENDERSON

admin February 24, 2020 1:41 am


JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kiungo wake Jordan Henderson atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu kutokana na majeraha aliyopata.

Nyota huyo anasumbuliwa na majeraha ya nyama za paja na kuna hofu kuwa hataweza kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid.

Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Hispania Liverpool ilinyooshwa kwa kufungwa bao 1-0 mechi ya pili inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa itamtoa mshindi atakayetinga hatua ya robo fainali.

“Nafikiri inaweza kuwa kati ya wiki tatu ama zaidi ya hapo kutokana na majeraha aliyonayo na yanaonekana kuwa mabaya sana kwetu,” amesema.

YANGA YATOA SABABU YA SARE NNE MFULULIZO ILIZOPATA NDANI YA LIGI KUU BARA SIMBA YAHAMISHIA HASIRA ZAKE HUKU NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply