Uncategorized

NAMUNGO KAMILI GADO KUVAA MBEYA CITY LEO SOKOINE

admin February 25, 2020 6:14 am


KOCHA wa Namungo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kupambana leo na Mbeya City kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.

Namungo itashuka Uwanja wa Sokoine saa 10:00 jioni kumenyana na Mbeya City iliyo chini ya Amri Said.

“Wachezaji wana morali kubwa na wanatambua kazi yao ni kutafuta ushindi, utakuwa mchezo mgumu kutokana na ushindani uliopo ila hakuna namna tupo tayari kupambana.

“Kikubwa ni kuomba Mungu wachezaji wafuate kile ambacho nimewaelekeza na wacheze kwa juhudi, mashabiki wajitokeze kwa wingi kuipa timu sapoti,” amesema.

HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWENYE MICHUANO YA CHAN KESHO AZAM FC MIKONONI MWA IHEFU KULITETEA TAJI LAO LA SHIRIKISHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply