Uncategorized

ISHU YA WACHEZAJI WA YANGA KUCHIMBISHWA KWENYE VYUMBA VYAO IPO HIVI

admin February 28, 2020 4:18 am

ABDULAZIZ Makame, nyota wa timu ya Yanga amesema kuwa mashabiki wao wasifikirie kuwa wamefukuzwa kwenye pango lao walilokuwa wakikaa bali wamekwenda kuanza maisha mapya.

Kauli hiyo ameitoa kutokana na kusambaa kwa picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wachezaji wa Yanga wakipakia vyombo vyao kwenye gari huku ikielezwa kuwa wamefukuzwa kwa kushindwa kulipa fedha ya pango.

Makame amesema:”Ishu ya kushindwa kulipa fedha ya pango sio kweli na wala hatujafukuzwa ila ishu ni kwamba tulikuwa tunahama Kariakoo na kuelekea Kinondoni ambapo tumepata chumba bora kuliko kile cha mwanzo,”.

KOCHA KMC MGUU NJE MGUU NDANI, HOFU YA KUPIGWA CHINI YATAWALA KICHUYA WA SIMBA AMCHAMBUA NAMNA HII LUIS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply