Uncategorized

UJUMBE HUU WA YANGA WATUMWA KWA ALLIANCE, GWAMBINA YAIPA KIBURI

admin February 29, 2020 2:18 am


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kusepa na pointi tatu leo mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kikosi kipo tayari na wachezaji wana morali kubwa ya kusaka ushindi.

Bumbuli amesema:”Tumekuwa tukiambiwa wanyonge kutokana na matokeo ambayo tumekuwa tukiyapata hilo hatulijali kwa kuwa ubora wetu tunautambua na hatubahatishi tupo imara.

“Baada ya kumalizana na Gwambina sasa kazi inayofuata itakuwa dhidi ya Alliance, tupo tayari kuona tunapata ushindi kikubwa tunachotaji pointi tatu, mashabiki watupe sapoti,”.

SIMBA MACHO YOTE KWA KMC, KESHO TAIFA HAPATOSHI MWEZI FEBRUARI SIMBA YAACHA REKODI HII MATATA, YAFUNGWA MABAO KIDUCHU, WALIYOFUNGA SASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply