Uncategorized

AZAM FC WALIPA KISASI CHA KUPAPASWA NA RUVU SHOOTING LEO

admin March 10, 2020 3:27 pm
.

NEVER Tigere nyota wa Azam FC leo amewanyanyua mashabiki wa Azam FC kwa kulipa kisasi cha kufungwa bao 1-0 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mabatini.

Azam FC leo imesepa na point tatu kwa kushinda mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru

Tigere alipachika mabao hayo kwa kuanza kipindi cha kwanza dakika ya  23 na kipindi cha pili dakika ya 53.

Ruvu Shooting ilipata bao la kufutia machozi dakika ya 73 kupitia kwa Sadat Mohamed dakika ya 73.

ALIYEMCHEZEA RAFU FEI TOTO ARUDI KWA MASHABIKI KUOMBA MSAMAHA MVUA YATIBUA MIPANGO YA POLISI TANZANIA V MTIBWA SUGAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply