Uncategorized
MVUA YATIBUA MIPANGO YA POLISI TANZANIA V MTIBWA SUGAR
admin
March 10, 2020
3:27 pm
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar uliokuwa leo majira ya saa 10:00 umeahirishwa hadi kesho saa 3:00 asubuhi.
Mchezo huo umeahirishwa kutokana na mvua iliyonyesha muda mfupi kabla ya mchezo kuanza uwanja wa Ushirika Mosi ambao umejaa maji.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.