Home Uncategorized BEKI KISIKI WA SIMBA KUKAA NJE YA UWANJA SIKU 14

BEKI KISIKI WA SIMBA KUKAA NJE YA UWANJA SIKU 14

ERASTO Nyoni, beki wa timu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara atakaa nje kwa muda wa wiki mbili sawa na siku 14.

Nyoni kwa sasa ni majeruhi aliumia kifundo cha mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Taifa, Machi 8,2020 Jumapili.

Kwenye mchezo huo ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 nafasi yake ilichukuliwa na beki Kened Juma .

SOMA NA HII  BAJETI YA SIMBA KWENYE SIMBA DAY MSIMU HUU NI MARA MBILI YA MSIMU ULIOPITA