Uncategorized

MEDDIE KAGERE WA SIMBA ATAJA SABABU YA KUCHEKA NA NYAVU

admin March 12, 2020 4:54 pm


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio ni ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake na kutimiza majukumu yake ndani ya kikosi hicho.

Kagere ni kinara wa utupiaji akiwa na mabao 19 na alifunga hat trick yake ya kwanza msimu huu wa 2019/20 mbele ya Singida United kwenye ushindi wa mabao 8-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa uhuru.

Kagere amesema:”Kikubwa ni ushirikiano na sapoti kutoka kwa wachezaji wenzangu pamoja na mashabiki, ninaamini kuna mengi ambayo yanakuja kutokana na ushirikiano huu, ninawaomba mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.

Simba imefunga mabao 63 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi zake ni 71.

MOURINHO: TATIZO LA KIKOSI CHANGU SIO LA KUISHA KESHO, MAMBO NI MAZITO KICHAPO CHA BAO 1-0 WALICHOPOKEA YANGA MBELE CHAIKWEZA KMC KWA NAFASI MBILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply