Uncategorized

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YA WANAWAKE YAPOTEZA MBELE YA UGANDA LEO

admin March 14, 2020 8:22 pm

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 17 leo imefungashiwa virago kwenye safari ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa Wanawake linalotarajiwa kufanyika mwaka huu nchini India.

Tanzania imepoteza kwa kufungwa mabao 5-0 mbele ya Uganda na kuwafanya watolewe kwa jumla ya mabao 6-2.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa, Tanzania ilishinda mabao 2-1 na leo wamepoteza kwa kufungwa mabao 5-0 ugenini.

ASTON VILLA YA MBWANA SAMATTA YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WASIOJIWEZA HASIRA ZA KADI NYEKUNDU YA BOBAN, MABAO 8 YA SIMBA KWA SINGIDA UNITED ZIMEISHIA KWA MBEYA CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply