Uncategorized
HIVI HAPA VIGINGI 11 VYA YANGA MSIMU HUU WA 2019/20
admin
March 17, 2020
2:42 pm
IKIWA imecheza mechi 27 na kujiwekea kibindoni jumla ya pointi 51, Yanga imebakiza vigingi 11 ili kukamilisha mzunguko wa pili baada ya siku 30 ambazo ligi imesimamishwa itaendelea pale ilipoishia itakuwa mbele ya:-
Mwadui vs Yanga
JKT TZ vs Yanga
Yanga vs Azam
Yanga vs Namungo
Yanga vs Ndanda
Biashara vs Yanga
Kagera vs Yanga
Yanga vs Singida
Yanga vs Mwadui
Mtibwa vs Yanga
Lipuli vs Yanga
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.