Uncategorized
BREAKING: LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA YASIMAMISHWA KWA MUDA
admin
March 17, 2020
2:42 pm
LIGI Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko ya watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali.
Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kupambana na ugonjwa wa Corona.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.