Uncategorized
NYOTA HAWA WANNE WA SIMBA WAMEHUSIKA KWENYE MABAO 38 KATI YA 63 NAMNA HII
NYOTA hawa Simba wamehusika kwenye mabao 38 kati ya 63 yaliyofungwa na Simba kwenye mechi 28 ambazo wamecheza.
John Bocco nahodha wa Simba ametupia mabao manne na asisti mbili huku Luis Misqussone, kiungo wa Simba akiwa ametupia mabao matatu na asisti moja.
Kinara wa kutupia mabao ni Meddie Kagere wa Simba ametupia mabao 19 na ana asisti tano.
Shomari Kapombe beki wa Simba ametupia jumla ya pasi za mwisho tano na mguu wake anaupenda kuutumia ni ule wa kulia.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.