Uncategorized

HIMID MAO: NIPO SALAMA HUKU MISRI

admin March 28, 2020 9:47 pm


HIMID Mao, kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga nchini Misri kwenye Klabu ya ENPPI amesema kuwa anaendelea salama.

Ligi Kuu ya nchini Misri imesimama ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia kwa sasa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Himid amesema kuwa wanashinda ndani kutokana na katazo la Serikali kutowapa ruhusa kutoka nje.

“Tunaendelea salama huku licha ya kwamba hatuna nafasi ya kutoka nje kama zamani, mazoezi na shughuli nyingine tunafanyia ndani,” amesema Himid.

DAKIKA ZA IBRAHIMU AJIBU NDANI YA SIMBA ZIPO NAMNA HII MASHINE NNE ZA KAZI KUTUA JANGWANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply