Uncategorized

PACHA YA BOCCO NA KAGERE ILIANZA KUNOGA

admin April 3, 2020 12:14 pm


NAHODHA wa Simba, John Bocco na mshambuliaji Meddie Kagere walianza kutengeneza pacha nzuri kwa kutengeneza urafiki na nyavu kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama.

Bocco na Kagere wakati Simba ikiwa imefunga mabao 63 wamehusika kwenye mabao 30 ambapo Kagere amefunga mabao 19 na kutoa  pasi tano za mabao huku Bocco akifunga mabao manne na kutoa pasi mbili za mabao.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Serikali kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ilitoa tamko hilo Machi 17.

MBELGIJI WA SIMBA HESABU ZAKE ZIPO NAMNA HII KOCHA TANZANIA PRISONS: TUZIDISHE DUA TUTOKE KWENYE JANGA LA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply