Uncategorized

ROMA YANOGEWA NA HUDUMA YA SMALLIG YAITAKA SAINI YAKE

admin April 9, 2020 12:02 pm

CHRIS Smalling anayekipiga ndani ya Roma kwa mkopo akitokea katika Manchester United inasemekana Man U inampango wa kumrejesha msimu ujao.

Mabosi wa Roma tayari nao wamenogewa na huduma ya nyota huyo wanahitaji kuipata pia saini yake.
 Msimu uliopita Smalling alishindwa kutamba ndani ya Man United katika mechi 24 za Premier League nambayo ilimaliza msimu ikiwa nafasi ya sita.
 Roma imekuwa na maombi kuwa staa huyo asalie katika klabu hiyo kwa kutoa kitita cha pauni milioni  25, lakini Man United  haijasema chochote mpaka sasa.
DAU LA BEKI ANAYEWINDWA NA SIMBA NI PASUA KICHWA HIKI NDICHO KITAKACHOMRUDISHA OKWI NDANI YA SIMBA TENA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply