Uncategorized

NYOTA KANE ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED

admin April 13, 2020 7:57 am

MSHAMBULIAJI wa Spurs, Harry Kane amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya kwa sasa nje ya timu yake hiyo anayoitumikia.
Spurs imekuwa kwenye mvutano mkubwa na nyota huyo ambaye inaelezwa kuwa hafurahii maisha ndani ya kikosi hicho kutokana na kuona kwamba hakina nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.
Manchester United iliyo chini ya Kocha Mkuu Ole Gunnar Solskjaer inatajwa kuwania saini yake ili kumpata nyota huyo aishi ndani ya Old Trafford.
Kibiashara inatajwa kuibeba Manchester United kutokana na uwezo wa Kane ambaye ni nyota anayekipiga ndani ya timu ya Taifa ya England akiwa ni nahodha pia.

KIUNGO POLISI TANZANIA ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA WOTE KUOMBEANA DUA YANGA KUJA KIVINGINE WAKATI WA USAJILI, MFUMO MPYA KUTUMIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply