Uncategorized

CHELSEA YAWEKA NGUMU KWA KANTE KUIBUKIA KWA ZIDANE

admin April 14, 2020 3:27 pm


IMEELEZWA kuwa Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumuuza nyota wao N’Golo Kante msimu ujao.

Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu Zinedine Zidane inatajwa kuwa ilikuwa kwenye hesabu za kumpata kiungo huyo machachari ambaye anakipiga pia timu ya Taifa ya Ufaransa.

Kwa mujibu wa mtandao wa 90min unaeleza kuwa Madrid walikuwa na mpango wa kuinasa saini yake ila Chelsea nao wamedai kuwa bado wanahitaji huduma yake.

Mkataba wake ndani ya Klabu ya Chelsea unameguka 2023 na nyota huyo inatajwa kuwa hana mpango wa kubaki ndani ya klabu hiyo.

KISA YANGA, SIMBA YAMKOMALIA CHAMA, YATAJA MUDA WA MKATABA WAKE MCHEKA NA NYAVU ANAYEWINDWA NA YANGA ATAJA KINACHOIMALIZA TIMU YAKE YA ZAMANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply