Uncategorized

KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA

admin April 17, 2020 6:31 am


MOHAMED Hussein, ‘Tshabalala ‘ amesema kuwa kinachompa namba kikosi cha kwanza ni juhudi pamoja na kujituma bila kuchoka.


Tshabalala amekuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ambapo amekuwa akishindana namba na beki mwenzake Gadiel Michael ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Klabu ya Yanga.

Akizungumza na Saleh Jembe, Tshablala amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kuwa bora ni kujituma na kufanya kazi bila kukata tamaa.

“Nimekuwa nikijifunza kila siku na kufanya mazoezi ili kuwa bora, kikubwa ni kuamini kwamba ninaweza na kujituma uwanjani ni jambo muhimu,” amesema.
HUYU HAPA NYOTA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ANAYEWINDWA NA YANGA VIDEO: MZEE WA WAYAWAYA, IBWE ATAJA WACHEZAJI WA SIMBA NA YANGA ANAOWAKUBALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply