Uncategorized

BREAKING:CHIRWA AMALIZANA NA AZAM FC, DILI LAKE KUTUA YANGA LABUMA

admin April 23, 2020 5:35 pm

OBREY Chirwa mshambuliaji wa Azam FC, ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.

Mkataba wa awali wa nyota huyo alioongeza Juni mwaka jana, ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu, hivyo kwa kusaini tena kutamfanya aendelee kusalia hadi mwishoni mwa msimu ujao.

Chirwa alikuwa Kwenye hesabu za kurejea Yanga ambayo ilikuwa Klabu yake ya zamani ambayo inaelezwa kuwa walikuwa Kwenye hatua za mwisho kuinasa kwa ajili ya msimu ujao.

Azam FC ikiwa nafasi ya pili na pointi 54 baada ya kucheza mechi 28 imefunga mabao 37 huku Chirwa akitupia mabao nane.

SABABU ILIYOMFANYA CHAMA AKATUA SIMBA HII HAPA VIDEO: MASTAA YANGA WAOGELEA MAMILIONI YA GSM

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply