Uncategorized

WACHEZAJI KUWEKWA HOTELINI KWA MUDA WA WIKI SITA KABLA YA LIGI KUREJEA

admin April 27, 2020 11:02 am


IMEELEZWA kuwa wachezaji wote wanaoshriki Ligi Kuu ya England watawekwa ndani kwa muda wa wiki sita kabla ya ligi hiyo kurejea.

Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror umeripoti kuwa wachezaji watawekwa Lockdown katika hotel kwa wiki 6 kabla ya kuanza kumaliza msimu wa EPL 2019/2020.

Mechi zilizobaki zinatarajiwa kuchezwa bila uwepo wa mashabiki uwanjani kutokana Virusi vya Corona.

WACHEZAJI BONGO VIWANGO VYAO KUSHUKA IWAPO WATASHINDWA KUFANYA HAYA BEKI HUYU WA UGANDA ATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply