Home Uncategorized HILI HAPA KOSI LENYEWE LA WANA KOMA KUMWANYA, MBEYA CITY

HILI HAPA KOSI LENYEWE LA WANA KOMA KUMWANYA, MBEYA CITY


Kikosi cha Mbeya City kile chenyewe cha mwanzo kabisa msimu wa 2013/14 kilichokuwa kinajiita wana Koma Kumwanya: David Burhan (Marehemu), John Kabanda, Hassan Mwasapili, Deogratius Julius, Antony Matogolo, Yohana Morris, Mwagane Yeya, Steven Mazanda, Paul Nonga,Fidelis Castor,Deus Kaseke, Yussuf Willson,Alex Sethi.

Juma Mwambusi ndiye alikuwa bosi kwenye benchi la ufundi pale amesema kuwa kilichoipa mafanikio timu hiyo wakati ule ni ushirikiano mkubwa wa wachezaji katika maandalizi, sapoti ya viongozi.

SOMA NA HII  VITA YA LIGI YA MABINGWA ULAYA IPO NAMNA HII