Home Uncategorized HUYU HAPA MTUPIAJI MATATA WA MALAWI ANAYETAJWA KUINGIA KWENYE RADA ZA YANGA

HUYU HAPA MTUPIAJI MATATA WA MALAWI ANAYETAJWA KUINGIA KWENYE RADA ZA YANGA

GABADINHO Mhango nyota

anayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ni miongoni mwa washambuliaji wanaofanya vizuri nchini Afrika Kusini.

Raia huyo wa Malawi ni mbaya kwa kucheka na nyavu kwani ni kinara ndani ya Pirates akiwa ametupia mabao 18.

Jezi yake mgongoni ni namba saba inaelezwa kuwa nyotabwa sasa wa Yanga ambaye nu kiungo mshambuliaji,  Bernard Morrison anamtambua vema mshambuliaji huyo.

Amecheza mechi 18 aa Ligi Kuu ya Afrika Kusini inatajwa kuwa yupo Kwenye rada za Yanga ambao kwa sasa wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mshirika wao kampuni ya GSM

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO POGBA ATAKAVYOCHEZA KIKOSI CHA KWANZA NA BRUNO