Uncategorized

NONGA ASEPA ZAKE IRINGA, AJICHIMBIA MBEYA NA FAMILIA

admin May 5, 2020 1:56 pm

PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli, amesema kuwa kwa sasa amesepa ndani ya mkoa wa Iringa na kujichimbia Mbeya akiwa na familia yake. 

Nonga amesema kuwa aliondoka Iringa yalipo makao makuu ya timu ya Lipuli baada ya ligi kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona. 


“Nimeondoka Iringa kwani kambi tulivunja kutokana na janga la Corona, kwa sasa nipo Mbeya na familia yangu tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Kwenye Ligi Kuu Bara Nonga amehusika kwenye mabao 15 ndani ya Lipuli inayotumia Uwanja wa Samora.

ZFF WATOA ANGALIZO TFF MGAWO WA MAMILIONI YA FIFA CORONA YAMPA MATESO PIA HAJI MANARA, MAWAZO YAKE YAPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply