Home Uncategorized MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL

MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL

ERKUT Sogot, wakala wa staa wa Arsenal Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho.

Ozil amekuwa akihusishwa kuondoka ndani ya timu hiyo msimu ujao na ikitajwa kuwa anaelekea Uturuki.

Timu ya Fenerbance inatajwa zaidi kuhitaji saini ya kiungo huyo fundi wa mpira.

Wakala huyo amesema Ozil anataka kufanya kazi na Arsenal iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA