Home Uncategorized HIKI NDICHO KILICHOZINDULIWA SAA SABA MCHANA SIMBA

HIKI NDICHO KILICHOZINDULIWA SAA SABA MCHANA SIMBA


UONGOZI wa Klabu ya Simba leo umezindua Website yake rasmi (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake.

Tovuti hiyo imezinduliwa rasmi leo saa saba mchana kama ambavyo walitangaza awali kuwa watakuwa na jambo lao.

SOMA NA HII  ISHU YA UWANJA ISIACHWE IPITE HIVIHIVI WAKATI UJAO, MABORESHSHO YAENDELEE