Uncategorized

TIMO WERNER AZICHANGANYA LIVERPOOL NA CHELSEA

admin May 23, 2020 12:47 pm


MTUPIAJI ndani ya RB Leipzig, Timo Werner yupo kwenye hesabu za Chelsea pamoja na Liverpool.

Vigogo hao wa England wanapambana kupata saini ya nyota huyo ili kuimarisha vikosi vyao msimu ujao.

Liverpool iliyo chini ya Jurgen Klopp inahaha kutafuta mbadala wa Sadio Mane ambaye inaelezwa kuwa Real Madrid inahitaji kupata saini yake huku Chelsea iliyi chini ya Frank Lampard ikisaka mtupiaji.

Nyota huyo amekuwa kwenye ubora wake ambapo kibindoni ana mabao 27 akiwa amecheza mechi 37.

SIMBA YATAKA KUBEBA MATAJI MAKUBWA MAWILI YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA KWA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply