Uncategorized

HAPA NDIPO ALIPO MBWANA SAMATTA

admin May 25, 2020 5:47 am

HAPA ndipo timu ya Mbwana Samatta Aston Villa ilipokuwa imesimama kutokana na janga la Virusi vya Corona. 

Ipo nafasi ya 19 baada ya kucheza jumla ya mechi 28 ndani ya Ligi Kuu England. 

Kibindoni ina pointi zake 25 ilizopata baada ya kushinda mechi 7 na sare 4.

Kichapo imepokea kwenye jumla ya mechi 16 na ina jumla ya mabao ya kufunga 34.

Nafasi ya 20 ipo kwa Norwich City ambao wao wana pointi 21baada ya kucheza mechi 29.

SONSO YUPO TAYARI KWA MAPAMBANO NDANI YA LIGI KUU BARA HIKI NDICHO AMBACHO KINAPANGWA KWA SASA KABLA YA LIGI KUREJEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply