Uncategorized

AZAM FC IPO KAMILI GADOGADO

admin May 30, 2020 9:47 pm

MATAJIRI wa Dar es Salaam, Azam FC wameanza mazoezi kwa ajili ya kujiaandaa kumalizia vigongo vyao 10 ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na kutetea taji la Kombe la Shirikisho.

Azam FC ilitwaa taji hilo msimu wa 2019 kwenye fainali iliyochezwa Lindi, ilikuwa dhidi ya Lipuli FC ya Iringa.

Bao pekee la ushindi lilifungwa na Obrey Chirwa aliyeipoteza Lipuli mazima wakati huo ikiwa chini ya Seleman Matola ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Simba.

Mechi yao ya hatua ya robo fainali ndani ya Kombe la Shirikisho ni dhidi ya Simba.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa wanapo tayari kwa ajili ya ushindani hawana mashaka yoyote.

HII HAPA MITAMBO MINGINE YA MABAO NDANI YA SIMBA KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply