Uncategorized

HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA YANGA NDANI YA LIGI KUU BARA, RATIBA YAKE

admin June 2, 2020 9:47 pm


KLABU ya Yanga ina mechi 11 kibindoni ambazo imebakiza ili kuamliza mzunguko wa pili wa 2019/20.

Juni 13 ligi inarejea rasmi baada ya kusimamishwa na Serikali kutokana na kuibuka kwa janga la Virusi vya Corona.

Hivi hapa vigongo vyake:-

Juni 13, Mwadui v Yanga

Juni 17, JKT Tanzania v Yanga

Juni 21, Yanga v Azam FC

Juni 24, Yanga v Namungo

Julai 21, Yanga v Ndanda

Julai 5, Biashara United v Yanga

Julai 9, Kagera Sugar v Yanga

Julai 15, Yanga v Singida United

Julai 18, Yanga v Mwadui FC

Julai 22, Mtibwa Sugar v Yanga

Julai 26, Lipuli v Yanga

KIUNGO WA AZAM FC AHOFIA KUWEKA MAZOEZI YAKE KWENYE MITANDAO HESABU ZA SIMBA KUSEPA NA UBINGWA ZIMEKAA NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply