Home Uncategorized YANGA YAANZA MATIZI LEO SHINYANGA

YANGA YAANZA MATIZI LEO SHINYANGA

KIKOSI cha Yanga leo kimeanza mazoezi rasmi ya kujiweka sawa kwa ajili ya kuvaana na Mwadui FC ya Shinyanga.

Miongoni mwa wachezaji waliokuwa mazoezini leo ni pamoja na Patrick Sibomana, mshambuliaji namba mbili wa Yanga.

Yanga inajiandaa kucheza na Mwadui FC, Juni 13 Uwanja wa Kambarage mchezo wa Ligi Kuu Bara. 

Sibomana ametupia mabao matano kati ya 31 na pasi tatu za mabao.

SOMA NA HII  ISHU YA KAPOMBE SIMBA MAMBO MAGUMU,MRUNDI ATUMIKA YANGA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU