Inaongezwa dakika moja
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara unaoendelea Uwanja wa Kambarage kati ya Mwadui na Yanga, Yanga ipo mbele kwa bao 1-0.
Balama Mapinduzi amefunga bao hilo dakika ya sita.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi huku wakichukua tahadhari dhidi ya Corona
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.