KLABU ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael leo imealikwa ndani ya Bunge la Tanzania.
Taarifa ambayo imetolewa kupitia Ukurasa wao wa Istagram imeeleza kuwa :”Timu ya Wananchi kwa wawakilishi wa Wananchi. Saa 3:00 asubuhi leo Yanga ndani ya Bunge.”