Home Uncategorized TIMU 14 LEO KUSAKA POINTI TATU NDANI YA UWANJA

TIMU 14 LEO KUSAKA POINTI TATU NDANI YA UWANJA

371
0


LEO uhondo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaendelea ambapo timu 14 zitakuwa kwenye viwanja saba tofauti kusaka pointi tatu muhimu.

Mechi za leo Juni 20 zitakuwa namna hii:-

JKT Tanzania v Singida United, Jamhuri.

Ndanda v Biashara United, Nagwanda.


Namungo v Kagera Sugar, Majaliwa.

Coastal Union v Mtibwa Sugar, Mkwakwani.

Polisi Tanzania v Lipuli, Ushirika.

KMC v Ruvu Shooting, Uhuru.

Simba v Mwadui, Taifa.


Mechi zote zitapigwa majira ya saa 10:00 jioni