Habari za michezo

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA…FIFA WAKUBALIANA NA QATAR KUZIFUNGA BAA ZOTE…HAKUNA POMBE KIHOLELA…

admin July 8, 2022 8:36 am


Maboss wa FIFA wamefikia makubaliano na Qatar kuzifunga baa zote kwenye viwanja vya mpira wakati mechi zikiwa zinachezwa.

Taarifa zinasema kuwa mipango bado inakamilishwa lakini majadiliano yaliyofikiwa hadi sasa ni kuwaruhusu mashabiki kununua na kunywa pombe wanapofika uwanjani na wanapotoka.

Aidha kutakuwepo na maeneo mengine kadhaa rasmi ambayo yatatengwa kwa ajili ya kuwapa mashabiki huduma za pombe katika muda maalumu.

Polisi wamejiandaa vilivyo ili kukabiliana na wale wote watakaovunja sheria husika.

WAKATI WENZAKE WAKIWA WANAJIPANGA KUANZA UPYAA..MOSES PHIRI AFUNGUKA SABABU ZA KUWA KWAO ZAMBIA… KUHUSU KUCHEZA NNJE YA NCHI…MANULA AVUNJA UKIMYA…ATAJA CHANGAMOTO ANAYOPITIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply