Home Uncategorized MOTO WA KUNDI A ACHA KABISA, CHEKI NAMNA VITA ILIVYO TAMU

MOTO WA KUNDI A ACHA KABISA, CHEKI NAMNA VITA ILIVYO TAMU

MSIMAMO wa Kundi A wa Ligi Daraja la Kwanza, vita kubwa ni nafasi ya kupanda daraja jumlajumla ambapo Dodoma FC na Ihefu zote zinalingana pointi tofauti yao ikiwa ni kwenye idadi ya mabao.

Zote zimebakiwa na mechi mbili mkononi ili kumaliza mzunguko wa pili na kumpata mshindi, cheki ulivyo.


SOMA NA HII  NYOTA NANE YANGA MGUU NJE MGUU NDANI, PANGA LA ZAHERA LINAWAHUSU