Kiungo wa Klabu ya PSG, Angel Di Maria amesema kuwa Barcelona walitaka kumsajili 2017.
Ubora wa kiungo huyo umezivutia timu nyingi ambazo zinahaha kupata saini yake ikiwa ni pamoja na Barcelona.
Di Maria amesema kuwa Barcelona walimfuata 2017 ila aligoma kusaini dili lao kwa kuwa Klabu ya PSG iligoma kumruhusu.
“Barca walijaribu kunisajili lakini mwisho wa siku klabu zote zilijadili na PSG ikagoma kuniruhusu kuondoka,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.