Uncategorized

MKAZI WA DAR AIBUKA MSHINDI WA SHINDA GARI MPYA KABISA LEO

admin July 1, 2020 6:47 pm

HATIMAYE mkazi wa Dar es Salaam, Didas Marik (42), leo Julai 1, 2020 amefanikiwa kuibuka mshindi wa zawadi kubwa ya gari aina ya Toyota FunCargo katika droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Jishindie Gari iliyochezeshwa na Kampuni ya Global Publishers katika Viwanja vya Mabibo Sokoni jijini Dar na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu, Elibariki Sengasenga.



Bahati nasibu hiyo iliyokuwa ikiendeshwa kupitia magazeti namba moja ya michezo Tanzania kutoka Global Publishers, Spoti Xtra na Championi, ilidumu kwa takribani miezi mitatu ambapo ilizinduliwa Februari 27, mwaka huu na kuhitimishwa jana Julai Mosi, 2020. 

MWAMUZI YANGA V KAGERA YAMKUTA, KESHO NDANI YA SPOTI XTRA HIZI NDIZO REKODI MATATA ZA SIMBA NA UBINGWA WAKE MSIMU 2019/20

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply