Meridianbet

Odds Kubwa Zinakungoja Mechi za Leo

Vardo July 17, 2026 7:11 pm

Wachezaji ambao ni wapya na wasio wapya wamepewa nafasi ya kung’ara kwenye mechi hizi za kirafiki ambazo zinaendelea. Je wewe unapewa nafasi ipi?. Ingia Meridianbet na utengeneza jamvi la ushindi.

Tukianza na mechi ya Benfica ya Ureno ambayo watamenyana dhidi ya Villarreal kutoka kule Hispania ambapo hii ni mechi ya kupimana uwezo kwamba unaweza ukafanya nini kwa kikosi ambacho unacho.

Timu hiyo msimu uliopita ilikuwa chini ya kocha mkuu Jose Mourinho ambaye ametimkia Madrid sasa anahitaji kujipanga kwaajili ya msimu ujao na sasa wapo chini ya kocha mkuu Marco Silva ambaye anafikiriwa kuwapatia kombe msimu ujao.

Hii ni mechi ambayo japokuwa ni ya kirafiki lakini kila timu itacheza kwaajili ya kujipanga na msimu ujao huku Odds za mechi hii zikiwa ni kubwa pale Meridianbet. Ushindani unatabiriwa kuwepo kwenye mechi hii ya leo huku Villarreal ikiwa inajulikana kama timu ambayo hupenda kufanya mashambulizi kwa kushtukiza na kufunga mabao.

Je nani kuondoka na pointi 3 kwenye mechi hii ya leo?. Suka jamvi lako la ushindi na uibuke mbabe siku ya leo.

Pesa ya maana ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile Levante wataumana dhidi ya Sheffield United ambao wanataka kufanya vyema msimu ujao. Ikumbukwe kuwa wenyeji wamepanda daraja msimu huu hivyo msimu ujao wataklipiga kule LALIGA wakati wageni wao wao wapo kule Championship.

Timu hiyo inapenda kucheza kwa kumiliki mpira na kujenga mashambulizi kwa kutumia kasi. Changamoto kubwa kwao itakuwa kuvunja safu ya ulinzi ya Sheffield United na kuhakikisha hawaruhusu nafasi nyingi kwenye mipira ya kushambulia kwa kasi.

Huku Sheffield United wao mchezo huu utakuwa muhimu kujenga kujiamini na kurekebisha mapungufu ya msimu uliopita.

Kwa kuwa ni mchezo wa kirafiki, matokeo yanaweza yasiwe kipaumbele kikubwa kuliko majaribio ya mbinu na kuwapa nafasi wachezaji wapya. Hata hivyo, ubora wa vikosi na hamu ya kuanza maandalizi vizuri unaweza kufanya mchezo huu uwe na ushindani mkubwa.

Kila timu inahitaji kupata ushindi siku ya leo ili kujua kuwa wapi panahitajika marekebisho kwani muda ndio huu sasa na bado dirisha la usajili lipo wazi. Lakini pia takwimu zinaoesha kuwa timu hizi haziwahi kukutana kwenye mechi yoytote hii ndio mara yao ya kwanza. Je nani anaweza akaondoka na ushindi ya leo?. Suka jamvi kwenye mechi ya leo na uwe na mshindi sasa.

Kwanini Shekhan Khamis Ameondoka Yanga SC? Klabu 4 Zichuana Vikali! Azam FC Yamtambulisha Rasmi Beki Henri Stanic ‘The Destroyer’ Kutoka Stellenbosch