Uncategorized

VPL: KAGERA SUGAR 0-0 YANGA

admin July 8, 2020 1:47 pm

Dakika ya 45 zimekamilika zinaongezwa dakika 2Dakika ya 42 Kagera Sugar wanaanzisha safari kwenda Kwa Shikhalo
Dakika ya 33 Nyosso anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Morrison
Dakika ya 30 Yanga inapata faulo baada ya Morrison kuchezewa faulo haizai matunda
Dakika ya 24 Kagera Sugar wanafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango wa Yanga.

Dakika ya 20 Yanga wanaanzisha mashambulizi kwenda kwa Kagera Sugar

Dakika ya 15 Kagera Sugar wanalifuata lango la Yanga
Dakika ya 05 Kipa wa Kagera anaokoa shuti
Dakika ya 03 Morisson anapiga kona baada ya kipa wa Kagera Sugar kuokoa hatari

Uwanja wa Kaitaba


Kagera Sugar 0-0 Yanga

Kipindi cha kwanza

Mashabiki wamejitokeza kutazama mchezo wa leo ambao una ushindani mkubwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
KIKOSI CHA KAGERA SUGAR LEO DHIDI YA YANGA, KAITABA MABINGWA WA LIGI KUU BARA WATAJA WANAOSTAHILI KUSHUKURIWA KWA TAJI LAO LA 21, WAKABIDHIWA KOMBE LINDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply