Home Uncategorized HIVI NDIVYO PLAY OFFS ITAKAVYOKUWA BONGO Uncategorized HIVI NDIVYO PLAY OFFS ITAKAVYOKUWA BONGO By admin - July 27, 2020 108 0 BAADA ya Ligi Kuu Tanzania Bara kukamilika na timu zitakazoshuka daraja kujulikana ambazo ni Alliance FC ya Mwanza, Ndanda FC ya Mtwara, Lipuli ya Iringa na Singida United hivi ndivyo playoffs itakavyokuwa