Uncategorized

SIMBA WAANZA KUIFUATA SUMBAWANGA KWA AJILI YA FAINALI YA FA

admin July 27, 2020 9:47 am


MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameanza safari kuelekea Sumbawanga kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho unaoatarajiwa kuchezwa Agosti 2.

Simba imetoka kumalizana na Polisi Tanzania kwenye mchezo wake wa mwisho uliochezwa Jana, Julai 26 Uwanja wa Ushirika, Moshi na ilishinda mabao 2-1.

Safari yao leo wamepitia Dar es Salaam kisha wakaibukia Mbeya kabla ya kuanza kuifuata Sumbawanga.

Namungo ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Sahare All Stars inakutana na Simba ambayo ilishinda mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Yanga kwa mabao 4-1, Uwanja wa Taifa.

TFF KUMCHUKULIA HATUA EYMAEL MPAKA FIFA MBAO YAIPIGIA HESABU NDEFU IHEFU, UNAAMBIWA AFE KIPA AFE BEKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply