Uncategorized

MKALI WA KUCHEKA NA NYAVU ANUKIA JANGWANI

admin August 2, 2020 2:47 pm

Wazir Jr nyota wa kikosi cha Mbao FC anatajwa kumalizana na Klabu ya Yanga ambayo inapambana kuboresha kikosi chake kwa sasa.

Junior ni kinara wa utupiaji ndani ya Mbao FC akiwa ametupia mabao 12 ndani ya Ligi Kuu Bara na mabao mawili kwenye mchezo wa playoffs dhidi ya Ihefu FC.

Mbao FC imefungwa jumla ya mabao 4-4 na Ihefu jambo lililowafanya Mbao msimu ujao kushiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Mbao imetolewa kwa mabao  ya ugenini ambayo Ihefu iliwafunga jana Agosti Mosi, Uwanja wa Kirumba.

LUIS MIQUSSONE MCHEZAJI BORA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BREAKING:WAZIR JUNIOR AJIFUNGA MIAKA MIWILI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply