Home Uncategorized BREAKING: YANGA V SIMBA OKTOBA 18

BREAKING: YANGA V SIMBA OKTOBA 18


MECHI ya kwanza ya watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba inatarajiwa kuchezwa  Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa, Dar.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema hayo leo, makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania ambapo kuna mkutano wa waandishi wa habari.

Leo Agosti 17, ratiba rasmi inatolewa kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Septemba 6.
SOMA NA HII  KMC YATAMBA KUENDELEZA REKODI ZAKE VPL