Home Uncategorized HII HAPA ORODHA YA LIGI ZA NCHI ZITAKAZOPELEKA TIMU NNE KIMATAIFA AFRIKA

HII HAPA ORODHA YA LIGI ZA NCHI ZITAKAZOPELEKA TIMU NNE KIMATAIFA AFRIKA


HII hapa orodha ya Ligi za  nchi ambazo zitapeleka timu nne kwenye michuano ya kimataifa Afrika yaani mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe la Shirikisho 

 Morocco

Misri

Tunisia

Congo

Algeria

Afrika Kusini

Zambia

Nigeria

Guinea

Angola

Sudan 

Libya

SOMA NA HII  TIMU YA ALLIANCE GIRL'S YAPATA AJALI