Uncategorized

ORODHA YA NYOTA SABA WA SIMBA WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

admin October 2, 2020 12:47 pm


LEO Oktoba 2, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije ametangaza kikosi kazi kitakachoingia kambni Oktoba 5,2020 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Kikosi hicho chenye jumla ya nyota 25 kimebeba nyota saba kutoka Simba ambao ni hawa hapa:-

 Aish Manula yeye ni kipa.

Shomari Kapombe beki.

Mohamed Hussein nahodha msaidizi ndani ya Simba anacheza nafasi ya beki.

Jonas Mkude kiungo mkabaji.

John Bocco yeye ni nahodha anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Mzamiru Yassin yeye ni kiungo.

Said Hamis yeye ni kiungo.

LUIS MIQUSSONE WA SIMBA NA CARLINHOS WAINGIA KWENYE VITA MPYA NYOTA WANNE WA TIMU YA YANGA WALIOCHAGULIWA TIMU YA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply