Uncategorized

NYOTA WANNE WA TIMU YA YANGA WALIOCHAGULIWA TIMU YA TAIFA

admin October 2, 2020 1:47 pm


 NYOTA wanne wanaokipiga ndani ya Klabu ya Yanga wamejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji 25 wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo itaingia kambini Oktoba 5 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Nyota hao ni hawa hapa:-

Metacha Mnata yeye ni kipa.

Bakari Mwamnyeto yeye ni beki.

Ditram Nchimbi yeye ni mshambuliaji.

Feisal Salum yeye ni kiungo.

ORODHA YA NYOTA SABA WA SIMBA WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WATANO KUTOKA AZAM FC WAITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply