Uncategorized
WATANO KUTOKA AZAM FC WAITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
NYOTA watano kutoka kikosi cha Azam FC wamechaguliwa kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania chenye jumla ya wachezaji 25.
Stars inatarajiwa kuingia kambini Oktoba 5 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Burundi.
Hawa hapa nyota wa Azam FC:-
David Kisu
Bryson David
Abdalah Sebo
Idd Nado
Salum Abubakar
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.