BAADA ya ratiba ya dabi iliyokuwa inatarajiwa kuchezwa Oktoba 18 kufanyiwa mabadiliko na Bodi ya Ligi Tanzania, (TBLB) kupelekwa Novemba 7, hii hapa ratiba ya mechi za Novemba ndani ya Ligi Kuu Bara:-
Simba v Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Novemba 4.
Yanga v Simba, Novemba 7, Uwanja wa Mkapa.
Coastal Union v Yanga, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.Novemba 21
Dodoma Jiji v Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 24.
Simba v KMC, Novemba 29. Uwanja wa Mkapa