Uncategorized

GHALIB, HERSI SAID, JERRY MURO, HAJI MANARA WAKUTANISHWA NA TAIFA STARS

admin October 13, 2020 1:47 pm

 


RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),  Wallace Karia leo Oktoba 13, 2020 ameunda Kamati ya Ushindi ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

 Kamati hiyo itaongozwa na Ghalib Said Mohamed wakati Makamu wake ni Salim Abdallah na Katibu wa Kamati hiyo ni Hersi Said. Wengine ambao wameteuliwa ni pamoja na Haji Manara na Jerry Muro ambao ni wajumbe.


Taarifa iliyotolewa leo imeeleza kuwa:-


KOCHA MPYA YANGA AKIFIKA TU ANAANZA MAJUKUMU AZAM FC YAZIWEKA KANDO SIMBA NA YANGA KWA MTINDO HUU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply